Kiswahili ni lugha ya kibantu yenye misamiati mingi ya kiarabu inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki. Hakuna uhakika kuhusu idadi za wasemaji wa lugha; idadi zinazotajwa zinatofautiana. Wasemaji wa lugha ya kwanza wako labda kati ya milioni 7 hadi 10, na wasemaji wa lugha ya pili zaidi ya milioni sabini. Idadi ya wasemaji wa lugha ya kwanza inakua, kwa sababu lugha inaenea katika maeneo ambapo lugha nyingine zilikuwa lugha kuu, na hasa katika miji ya Tanzania imekuwepo lugha kuu, badala ya lugha za kikabila.
Kati ya nchi ambapo Kiswahili kinatumika ni Tanzania, Kenya, Uganda, Kongo-Kinshasa, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Somalia na visiwa vya Bahari Hindi.
Lugha rasmi
Kiswahili kimekuwa lugha rasmi katika nchi zifuatazo:
More on
[ Kiswahili ]
Swahili :: S
Tanzania :: Africa
Swahili :: Niger Kordofanian
Kiswahili - Twitter SearchI have always alitaka kusema Kiswahili!torigrl1209 (Tori) Sat, 07 Nov 2009 02:53:12 -0000
I have always alitaka kusema Kiswahili!
Watch #KTN kiswahili interview of a girl who I think had a sex changesaitonne (Saiton Tameno) Fri, 06 Nov 2009 16:50:02 -0000
Watch #KTN kiswahili interview of a girl who I think had a sex change
kiswahili and anthrogaypology tests. NICE.chiefbrat (chiefbrat) Fri, 06 Nov 2009 15:44:37 -0000
kiswahili and anthrogaypology tests. NICE.
In Tanzania transition primers help those who know how to read KiSwahili, read their mother tongue: http://bit.ly/2BCH8rpubolspost (Heather Pubols) Fri, 06 Nov 2009 13:34:49 -0000
In Tanzania transition primers help those who know how to read KiSwahili, read their mother tongue: http://bit.ly/2BCH8r
So, jetzt aber mal richtig losstarten... "Kiswahili si gumu!" ...doch, ist es... #fbjntns (Jonathan) Thu, 05 Nov 2009 11:55:23 -0000
So, jetzt aber mal richtig losstarten... "Kiswahili si gumu!" ...doch, ist es... #fb
Think I'll apply to this Craigslist ad: "Translators Needed: Brahvi, Baluchi, Kiswahili, Somali" - oh right, like they'll know!wisekaren (Karen Wise) Thu, 05 Nov 2009 03:22:36 -0000
Think I'll apply to this Craigslist ad: "Translators Needed: Brahvi, Baluchi, Kiswahili, Somali" - oh right, like they'll know!
Subscribe to Kiswahili RSS feed 